ActionAid is a global movement of people working together to further human rights and defeat poverty for all.

Tamasha la 10 la Jinsia Tanzania

Tamasha la 10 la Jinsia litafanyika Dar es Salaam kuanzia Jumanne hadi Ijumaa (13 - 16 Septemba 2011) lenye mada kuu Jinsia, Demokrasia na Maendelo na kulenga kujadili kwa kina masuala ya ardhi, nguvu kazi na maisha endelevu.