ActionAid is a global movement of people working together to further human rights and defeat poverty for all.

Tamko kutoka katika Jukwaa la Mwafrika

Takribani watu 300 walikusanyika/shiriki katika Jukwa Mbadala la Mwafrika lilofanyika jijijni Dar es Salaam tarehe 5 na 6 Mei 2010 ili kujadili mafanikio, uimara na ukuaji jumuishi wa Afrika.

Takribani watu 300 walikusanyika/shiriki katika Jukwa Mbadala la Mwafrika lilofanyika jijijni Dar es Salaam tarehe 5 na 6 Mei 2010 ili kujadili mafanikio, uimara na ukuaji jumuishi wa Afrika. Tukio hilo lilifanyika sambasamba na Jukwaa la Uchumi la Dunia kwa Afrika ambalo baadhi ya wafanyabiashara maarufu na viongozi wa serikali wamekusanyika kujadili mkakati wa ukuaji Afrika.